Uvimbe sehemu ya pua kuja Chinese kwenye lipis ya juu katika mdomo

Uvimbe sehemu ya pua kuja Chinese kwenye lipis ya juu katika mdomo

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,913
Reaction score
4,695
Habar wakuu hapa nilmejichunguza nlikua nimebana pua Huku nimeunabana mdomo kama mtu anaetaka kujichokonoa pia,,Sasa sehemu inapanzia lipis ya juu ya mdomo Hadi kufikia pua nyama Lote la mdomo nkiminya minya ndani nalisi kama Kuna linyama nyama hivi kama liuvimbe flani ,,,maana nlisema nibane mdomo kwa ndani nahisi iyo sehemu haiko normal kama Kuna linyama nyama flani
Wakuu hii inaweza kuwa nin
 
Back
Top Bottom