Isungamalunde
New Member
- Jul 16, 2012
- 1
- 0
Mficha uchi maradhi yatamuumbua,
Nina uvimbe wa juu Korodani ya Kulia, ni tatizo gani hasa na nini tiba yake. Kuna wakati inasabasha maumivu kwenye hiyo private part.