Soul21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 210
- 351
Picha: Pinterest
Mtanzania lazima ufahamu kuwa Kila kitu unachokiona au kusikia kupitia media huathiri ubongo wako, na kwa hivyo utu wako.
Kwani taarifa tunazopokea kupitia media zina athari kubwa kwenye fikra zetu, na hisia.
Hivi karibu nimeona media zikipa kipaumbele habari za local community kwa nchi za nje mfano Mzee mwenye umri mkubwa afariki kitu ambacho tunaaminisha watanzania hapa ni kwamba Mzee huyo hajawahi kuishi Tanzania yaani hatuna Mzee Wa umri huo kitu ambacho ni uongo.
Tuache uvivu Wa kumtafuta maudhui na kuishi kinakili matukio ambayo yanashusha hadhi ya utamaduni wetu kwa kulinganisha na maudhui ya nje. Yaani tuna mengi ya kujivunia na kuhabari watanzania kuhusu historia Yao kuliko kuwajazia matukio ya nje yasio natoka zaidi ya kubomoa fikra.
Media za nje lazima zizingatie utamaduni na msingi ya ndani kwa Kila habari ili kulinda utamaduni wetu nasi Kila maudhui ya klluleta na kulisha watanzania.