Uvivu wa kutisha, uchawi (kulaguza), na vijana kuamini kwenye quick gain ni baadhi ya sababu zilizorudisha nyuma maendeleo ya Mkoa wa Kagera

Yani ulivyoandika hapa, nilikuwa nasoma kama mimi ndio nahutubia kwenye kongamano na wahaya wamejaa kibao...

safi sana.
 
Yani ulivyoandika hapa, nilikuwa nasoma kama mimi ndio nahutubia kwenye kongamano na wahaya wamejaa kibao...

safi sana.
Aksante sana. At least wewe umekubali ukweli halisi. Wengi hasa watani wangu wahaya wako kwenye denial. Hiyo ni mbaya sana kwa sababu hutaweza kutatua tatizo ambalo hukubali kwamba lipo. Umesikia mmoja anatuhumu kukosa maendeleo Kagera ni kwa sababu wasomi wa Kagera wameitelekeza, hawainvest Kagera, Unaona, hii inaita blame shifting na ni mbaya sana.
 
Kubali madhaifu halafu yapige vita kwa kuhamasishana, ona yule padri (mtumishi wa Mungu) alivyoingizwa kwa kushiriki kwenye uuwaji wa albino!
 
Lakini mbona kama kote TZ?!
Janga la taifa!
 
Hapakuwa na haja ya kuandika maneno ya kiingereza ambayo,nayo umeyakosea kuyaandika
 

Wala huna haja ya kutafuta mchawi. Mchawi ni wahaya wenyewe. Dhambi yao ya ubaguzi. Kipindi cha nyuma waliwabagua na kuwadhulumu haki zao watu wengine. Walijazana wao katika vitengo vingi walivyoshikilia katika nchi hii. Sasa ile dhambi ya kubagua wengine imeingia ndani mwao. Hawataishia kubaguana sijui waziba, wahaya, wanyambo. Bali watabaguana kaka na dada, familia na familia, koo na koo. Na hakuna atakaye wazuia kwa maana hao wana asili ya u much know. Kwa hiyo hakuna atakaye jishusha chini. Ni mwendo wa mtifuano tu.
 
Kwenye kisababishi cha Uvivu kuna kitu kinasahauliwa.Mikoa mingi ya Kanda ya Ziwa kihistoria ilikuwa tegemezi Kwa Wageni hasa toka Burundi na Rwanda kama cheap labour .Utagundua hata Geita Uzalishaji wa nanasi umeshuka.Wakati wa Kikwete Miaka yake mwishoni Raia wengi wa Rwanda na Burundi walitimuliwa,na wengi walikuwa pia na Mifugo,hasa Ng'ombe na Mbuzi na Kondoo.Kwa hiyo kihistoria Siyo kweli kwamba watu walikuwa wachapakazi Zamani Kuliko siku hizi.Mm navyokua Mzee alikuwa na Labourers kama 8 Hadi 10 Wakati wa Msimu wa Kulima,walikuwa Wakilima kisha wakiondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…