Uvumbuzi haukubaliki Afrika

Uvumbuzi haukubaliki Afrika

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Tunanunua kila kitu Waafrika hatu thamini uvumbuzi.

Alisikika akisema" Nina kitu nilichovumbua lakini nashindwa kukitambulisha kwa sababu ya usalama wangu, ila ugunduzi wangu ungekua na Faida kwa Nchi" alisikika mlevi mmoja akiongea.
 
Africa ukijifanya mgunduzi kwisha habari yako, utawekewa mazingira magumu na kukatishwa tamaa badala ya kuwekewa mazingira mazuri kwa faida ya nchi
 
Yule jamaa nadhani wa Mbeya au Songwe aliwekewa zengwe na Helkopta yake sina hakika aliishia wapi
 
Back
Top Bottom