Tman900 JF-Expert Member Joined May 30, 2017 Posts 589 Reaction score 1,897 Oct 10, 2024 #1 Tunanunua kila kitu Waafrika hatu thamini uvumbuzi. Alisikika akisema" Nina kitu nilichovumbua lakini nashindwa kukitambulisha kwa sababu ya usalama wangu, ila ugunduzi wangu ungekua na Faida kwa Nchi" alisikika mlevi mmoja akiongea.
Tunanunua kila kitu Waafrika hatu thamini uvumbuzi. Alisikika akisema" Nina kitu nilichovumbua lakini nashindwa kukitambulisha kwa sababu ya usalama wangu, ila ugunduzi wangu ungekua na Faida kwa Nchi" alisikika mlevi mmoja akiongea.
Nickson francis JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 700 Reaction score 1,306 Oct 10, 2024 #2 Africa ukijifanya mgunduzi kwisha habari yako, utawekewa mazingira magumu na kukatishwa tamaa badala ya kuwekewa mazingira mazuri kwa faida ya nchi
Africa ukijifanya mgunduzi kwisha habari yako, utawekewa mazingira magumu na kukatishwa tamaa badala ya kuwekewa mazingira mazuri kwa faida ya nchi
proton pump JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 6,814 Reaction score 10,104 Oct 10, 2024 #3 Haukubariki hili ni tatizo pia
kaa chini JF-Expert Member Joined Jun 4, 2022 Posts 1,935 Reaction score 4,048 Oct 10, 2024 #4 Yule jamaa nadhani wa Mbeya au Songwe aliwekewa zengwe na Helkopta yake sina hakika aliishia wapi