Uvumbuzi wa kurunzi iletayo giza

Wasalaam,

Ndugu zangu msione ukimya mwingi umetamalaki kuhusiana na "Theory of Mbenge Effect". Ni shughuli pevu na yenye kuweza kuleta dhana mpya kabisa katika ulimwengu wa sasa wa sayansi, na hata kuweza kubadilisha mtazano mzima pamoja na kanuni nyingi za msingi zilizopo nyuma ya nishati ya mwanga.

Nasikitika sana kusema kuwa katika kundi letu lililokuwa lenye waatalamu wa kisayansi wapatao 12 kwa pamoja tuliuanza mchakato huu, mmoja wetu amegeuka kuwa Yuda Eskaroti na kuleta madhara kwa kiwango cha kadiri ya 15% na kuweza kuharibu "original plan & deadlines"

Kumbuka namba 12 ina maana kubwa sana katika ulimwengu wa kiroho ili kuweza kukamilisha jambo fulani. Ni lazima tufanye replacement ili timu iwe kamilifu kupitia namba hii.

"Damage control" imekwisha kufanyika, na kanuni mpya ya kimahesabu ipo tayari na nitakuja kuweka dokezo lake hadharani hivi karibuni. Mimi na timu yangu tunalazimika kufanya mabadiliko hayo ili tuzidi kuhifadhi na kuweka usiri mkubwa katika kazi yetu ya msingi


Lakini kabla hata hatujafanikiwa kuiweka kazi yetu katika "live state" ya majaribio, yaani tukiwa bado tupo katika "demo" tunaona kuna kila dalili za uwepo wa tishio la shambulizi la kimtandao kutoka kwa mahasimu wetu, .Ahadi ni deni, kila kitu kitakuwa katika mikono salama, mpaka dhamira yetu itimie.
 
Mawazo yetu mazuri hudumazwa na serikali yetu. Niliwahi kufikiria mambo mengi nikiwa mdogo, mfano umeme usioisha wala kuzima. Nikagundua sina akili ya kusoma fizikiq na hesabu kulingana na idadi ya mambo niliyowaza. Nikawaza pia taa zinazoweza kuleta giza totoro japo niliwaza hili kwa usiku pekee kwasabbu kuna muda giza totoro linahitajika yaani hata mbalamwezi isionekane
 
"Nikawaza pia taa zinazoweza kuleta giza totoro japo niliwaza hili kwa usiku pekee kwasabbu kuna muda giza totoro linahitajika yaani hata mbalamwezi isionekane* - Nukuu. You have nailed it.
 
Ugumu unakuja ni kwamba giza sio energy,ni matokeo tu ya kukosa mwanga.
Kwahiyo nguvu ielekezwe ktk kuondoa mwanga,sijajua tochi yetu itazalisha wingu,kivuli,ama nini!!!
 
Nadhirii ni lazima itekekelezeke kama vile ambavyo inapaswa kuwa. Kwa hiyo ninawiwa kwa dhati kabisa kukitekeleza kile ambacho nilikiahidi kukifanya kwa 100%

Mbenge effect is now real. Almost 75% to reach there. Get prepared to see how what seems to be impossible turned to be possible.
 
mkifanikisha mnitag nije kujionea maajabu
 
Mbenge effect is now at 96% to come true. Believe me, world history will completely change.

Theory mpya inazaliwa kuhusu kivuli. Kivuli sasa kitakuwa na tafsiri nyingi kisayansi, ikiwemo kifaa kipya cha kuweza kutoa historia l ya mtu kupitia kivuli chake mbele ya mwanga.

Mbenge effect is real. Stay soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…