Tupe hayo maubaya ya AI mzeeHuu ndio moja ya uvumbuzi wa hovyo na hatari kuwahi kufanywa duniani nayo ni AI Kiswahili wanaita sijui akili mnemba sijui unde sijui.
Ila AI ni moja ya vumbuzi mbaya na hatari kuwahi kufikiri na kufanywa.
AI ni kitu cha hatari kuliko hata bomu la kinyuklia ubaya unaoendelea sasa ni ushindani wa AI kwenye silaha za kivita mataifa makubwa yanacho jaribu kufanya ni kitu kibaya.
Kwa sasa tupo kwenye weak AI yaani kwa ufupi ni sawa na mtoto anayenyonya hata kutambaa bado hajaanza siku huyu mtoto akikua ni disaster.
Uhovyo wake ni upi?Au sijaelewa?Huu ndio moja ya uvumbuzi wa hovyo na hatari kuwahi kufanywa duniani nayo ni AI Kiswahili wanaita sijui akili mnemba sijui unde sijui.
Ila AI ni moja ya vumbuzi mbaya na hatari kuwahi kufikiri na kufanywa.
AI ni kitu cha hatari kuliko hata bomu la kinyuklia ubaya unaoendelea sasa ni ushindani wa AI kwenye silaha za kivita mataifa makubwa yanacho jaribu kufanya ni kitu kibaya.
Kwa sasa tupo kwenye weak AI yaani kwa ufupi ni sawa na mtoto anayenyonya hata kutambaa bado hajaanza siku huyu mtoto akikua ni disaster.
Kivipi?Elezea.Uhovyo wake haupo salama wewe na kizazi chako chote kutokea sasa.
Yaani AI anayo isemea sio hii ya kuandikia. Anazungumzia AI inayoenda kupewa mwiliIA n mzuri kwa 100%
Inategemea tuu unaitumiaje
Huko huko magharibi wasomi wakubwa waliohusika kwenye maendeleo ya AI wanapinga mahali AI inapoelekea na wajuta hata kuhusu ushiriki wao AI kufika mpaka hapa AI ijayo sio hii inayoonekana wala kutumika sasa.Huwezi kuzuia ukuaji wa teknolojia ata ufanyaje.
Nchi za magharibi wasomi wake wanatambua pesa sio kitu lakini vumbuzi ndio thamani ambayo asilimia kubwa ya wasomi wa magharibi wanajaribu kuipata.
So hakuna namna,wao wanasema ndio umesoma lakini umevumbua nini kutokana na elimu yako
Kwa hiyo hakutakuwa na haja ya kusoma tena au kufanya kazi. Mwendo utakuwa ni kula bata tu.Yaani AI anayo isemea sio hii ya kuandikia. Anazungumzia AI inayoenda kupewa mwili
AI anakua mtu halisi anaweza kufanya kazi mbalimbali.
US na China wapo wanatengeneza majeshi ya AI robots.
Wanawake wataanza kuolewa na AI robots atakaye weza kufanya mapenzi kwa muda mrefu.
Wanaume nao wataanza kuoa AI robots ili kutimiza haja zao za ndoa.
Elon Musk yupo anatengeneza chip itakayo weza kuunganishwa na ubongo wa binadamu. Kuna uwezekano mkubwa kwa mwingiliano huu binadamu fulani akifa akawa anaweza kurudishwa hai kwa mfumo wa AI.
Vipofu nao watafungiwa chip sasa wataweza kuona lakini kuna uwekano wakaweza kuwa na uwezo mkubwa zaidi ya binadamu.
Mambo ni mengi sana.
Upo ugunduzi mwingi wa hovyo ila choo cha kukaa ni namba mojaHuu ndio moja ya uvumbuzi wa hovyo na hatari kuwahi kufanywa duniani nayo ni AI Kiswahili wanaita sijui akili mnemba sijui unde sijui.
Ila AI ni moja ya vumbuzi mbaya na hatari kuwahi kufikiri na kufanywa.
AI ni kitu cha hatari kuliko hata bomu la kinyuklia ubaya unaoendelea sasa ni ushindani wa AI kwenye silaha za kivita mataifa makubwa yanacho jaribu kufanya ni kitu kibaya.
Kwa sasa tupo kwenye weak AI yaani kwa ufupi ni sawa na mtoto anayenyonya hata kutambaa bado hajaanza siku huyu mtoto akikua ni disaster.
Ubaya asilimia kubwa ya matumizi ni mabaya na huko iendako ndiko kwenye ubaya zaidi kuliko sasa kwenye hii AI dhaifu iliyopo sasa.AI ni mbaya kama utaitumia kwenye matumizi mabaya. Ukiitumia kwenye matumizi sahihi, AI ni habari nyingine.