Uvumbuzi wa ovyo kuwahi kufanywa duniani

Uvumbuzi wa ovyo kuwahi kufanywa duniani

Kampuni kibao za marekani wanatumia kodels za AI za china kurun biashara zao kwa sababu ni open source na cheaper compared tu hizo. You can google that.
Elon na X ai yake unaambiea wafanyakazi wa serikali wamelipiwa kuitumia lakini hawaitumii.
Kwenye majeshi wanaitumia kuanalyse data, kuonyesha potential targets lakini bado pia zinafanya makosa kama ambavyo ili wamislead kushambulia shule ya Iran wakidhani ni kambi ya jeshi.
The rapid advancement of artificial intelligence (AI) is transforming industries at an unprecedented pace, and the business of warfare is no exception. AI-enabled weapons are reshaping modern warfare with significant implications for strategic planning, battlefield operations, and the ethical employment of military force. Nations are racing to integrate AI into military operations, with Ukraine and Russia at the forefront of developing autonomous systems for battlefield advantage. But as they integrate AI into combat, one critical question remains: how much should we rely on it, and at what risk?

This concern is not just theoretical. As Austrian Foreign Minister Alexander Schallenberg warned, “This is the Oppenheimer moment of our generation.” Just as nuclear weapons redefined warfare in the twentieth century, AI-enabled weapons are now reshaping battlefields—most notably in Ukraine. Speaking at a Vienna conference on autonomous weapons, Schallenberg warned: AI-driven warfare could spiral into an uncontrollable arms race. Autonomous drones and algorithm-driven targeting systems threaten to make mass killing a mechanized, near-effortless process.

Conclusion

AI is no longer a distant prospect on the battlefield—it is here, evolving in real-time. From last-mile targeting to strategic decision-making, AI is already reshaping the tempo and tools of war. The battlefield in Ukraine only accelerated this adoption and a future conflict in Taiwan will only increase the pace of change. The race is on to build coordinated swarms of autonomous systems to roam the skies, dominate the seas, and overwhelm the enemy with force. However, as the world races to build and deploy autonomous systems on the battlefield, we risk entering an Oppenheimer moment, one where we cross a line never crossed before, granting machines the power to decide who lives and who dies. Once we get there, there is no going back.
 
Ooh so una maana kama mtu Ana elimu na mchango zaidi yako katika jambo fulani basi Kila atakacho comment kisikikizwe??...
Inategemea na elimu na mchango wako katika taaluma hiyo ni kujua what's is physics haikufanyi uwe na uelewa kuhusu physics sawa na Isaac Newton

Anayetoa tahadhari ni mtu ambaye ni taaluma yake na ana mchango wake mpaka AI imefika hapa sio junior tu wa kawaida ni mtu anazungumz jambo analo fahamu kiundani wenda kuliko mimi hata na wewe.
 
Eeh mkuu umegusa jambo la msingi, AI sasa imekuwa kitu cha kila siku. Wengine wanaitumia kwa kazi nzuri lakini wengi wamekuwa wavivu wa kufikiri. Mimi naona ni kama kisu, kinaua na kinaokoa maisha, yote inategemea nani anao. Lakini kuna hofu ya siku zijazo, watu wataacha kabisa kufikiri wenyewe.
 
When you are at 65+ utajua umuhimu wa hivyo vyoo boss. Na mm nilikuwa naona hivyo ila nilikuja kuona umuhimu wake kwa wazee wangu. Usiombe.
Watu walitakiwa waandika specific for Old People ila hili kuweka vyoo vya kukaa hasa kwenye public Toilets ni upuuzi.
 
Lengo la hayo ma AI/ma roboti ni ku CONTROL HUMAN RACE ,pale mpinga Kristo,mnnyama na nabii wa uongo watakapotawala katika NWO.

Maiaha yanaenda kuwa mabaya hiYo inaitwa DHIKI KUU.

just imagine ,kuna maroboti AI,KUNA ma reptilia ma nefil,kuna ,nabii wa uongo,mpinga,kristo,na mnyama,halafu kuna mapepo yatafunguliwa yaliyofungwa mto Euphretia, na kuna half human half demon ,nusu watu nusu majini duniani na wanaadamu wachache,hao wanadamu wachache watapata shida sana DHIKI KUU...naa bado mabadiliko ya hali ya hewa,joto kuongezeka global warming,njaa,ukame,vita,matetemeko,miioto ya asili,magonjwa mapy makubwa ya kutisha,vita
upendo utapoteA.,uasi utaongezej,maarif yataongezekA,watu watapenda pesa na kujipenda wwnyewe
 
Ila AI ni moja ya vumbuzi mbaya na hatari kuwahi kufikiri na kufanywa.

14 August 2026

Agentic AI to AGI Artificoal General Intelligence (AGI) and Artificial Superintelligence (ASI)

The Promise and Peril of Artificial Intelligence: Implications for Higher Education -- AGO Mutambara

View: https://m.youtube.com/watch?v=XLX5yEw2fGo
The Promise and Peril of Artificial Intelligence: Implications for Higher Education; By Arthur Guseni Oliver Mutambara

Source : Arthur Murambara
 
pale Beijing shule kuanzia msingi watoto wanafundishwa rasmi somo la AI
 
Hii AI mnayotumia sasa hivi ni ya mwaka 1996, 3 decades back. Wazungu wameamua kui release to the public kuhakikisha watu hawafikirii tena kwa akili zao bali wategemee AI. AI ya mwaka 2005 siku ikiachiwa hamna atakaekuwa na skills za kui handle hasa kwa hizi nchi tegemezi.
 
Hii AI mnayotumia sasa hivi ni ya mwaka 1996, 3 decades back. Wazungu wameamua kui release to the public kuhakikisha watu hawafikirii tena kwa akili zao bali wategemee AI. AI ya mwaka 2005 siku ikiachiwa hamna atakaekuwa na skills za kui handle hasa kwa hizi nchi tegemezi.
nyakati za mwisho zitakuwako nyakati za hatari. Maarifa ya wengi yataongezeka
 
14 August 2026

Agentic AI to AGI Artificoal General Intelligence (AGI) and Artificial Superintelligence (ASI)

The Promise and Peril of Artificial Intelligence: Implications for Higher Education -- AGO Mutambara

View: https://m.youtube.com/watch?v=XLX5yEw2fGo
The Promise and Peril of Artificial Intelligence: Implications for Higher Education; By Arthur Guseni Oliver Mutambara

Source : Arthur Murambara


24 August 2026

VIDEO: 2nd World Humanoid Robot Games 2026 Open in Beijing


View: https://m.youtube.com/shorts/v0cPfz1-7yk
The second World Humanoid Robot Games opened in Beijing, bringing together 666 teams and 2056 robots from 16 countries.

August 24, 2026 3:08 am EST.
The second day of the World Humanoid Robot Games in Beijing saw machines compete in sparring, sprinting and even Tai Chi.


View: https://m.youtube.com/watch?v=Di2s9wproyg
 
Back
Top Bottom