Ndio nijuze nipe link nisomeHuko huko magharibi wasomi wakubwa waliohusika kwenye maendeleo ya AI wanapinga mahali AI inapoelekea na wajuta hata kuhusu ushiriki wao AI kufika mpaka hapa AI ijayo sio hii inayoonekana wala kutumika sasa.
Unafahamu kuna AI arms race inaendelea sasa ?
Unafahamu kuna ai race kwenye biological weapons inaendelea sasa ?
Kama unafikiri hii AI inaishia tu katika kutengeneza juice ni kosa la uelewa wako ni sawa tu na anae fikiri AI inaishia katika punyetoMm msukuma hapa juzi nimeuliza jinsi ya kutengeneza juice aisee ikanielekeza na nikachanganya kama ilivyo sema mzee ile juice ilikua tam hatari ... Kama unaitumia ikuelekeze kupiga nyeto ama kuiba hapo sawa
Bora umeligundua hilo yaani hizo AI zitakua zinafungwa kichwani. Kila mtu atakua na akili.Kwa hiyo hakutakuwa na haja ya kusoma tena au kufanya kazi. Mwendo utakuwa ni kula bata tu.
Kitu chochote kina madhara inategemea unakitumia vipi hiyo simu tu uliyo shika ina madhara km utaitumia hovyoKama unafikiri hii AI inaishia tu katika kutengeneza juice ni kosa la uelewa wako ni sawa tu na anae fikiri AI inaishia katika punyeto
Nikifikiria AI naona ni kama zile movie za Terminator Maswala ya sky netHaidumazi tu akili ila inajifunza madhaifu ya akili ya mwanadamu na hii ni advantage kubwa sana kwake ambayo mwanadamu hatokuwa nayo.
Kwa nini kujipa hofu kwa kuufikiria Ubaya wa kitu wakati uzuri wake upo?Huu ndio moja ya uvumbuzi wa hovyo na hatari kuwahi kufanywa duniani nayo ni AI Kiswahili wanaita sijui akili mnemba sijui unde sijui.
Ila AI ni moja ya vumbuzi mbaya na hatari kuwahi kufikiri na kufanywa.
AI ni kitu cha hatari kuliko hata bomu la kinyuklia ubaya unaoendelea sasa ni ushindani wa AI kwenye silaha za kivita mataifa makubwa yanacho jaribu kufanya ni kitu kibaya.
Kwa sasa tupo kwenye weak AI yaani kwa ufupi ni sawa na mtoto anayenyonya hata kutambaa bado hajaanza siku huyu mtoto akikua ni disaster.
Hili ni jambo mkuu mpka wasomi wenyewe wakubwa wa AI na waliochangia mpaka AI kufika hapa wanaonya.Mkuu mimi nimekuelewa vizuri sana na hili jambo lipo wazi kabisa,
AI itakua out of control,yani itafikia stage itakua na madhara makubwa sana,
Kwa sasa hivi ni ngumu mtu kukuelewa ila tuombe uhai huko mbeleni tujionee.
Pia mtafute Godfather wa AI Geoffrey Hinton uone anasema nini kuhusu hiyo hiyo AI aliyo shiriki kui develop mpaka kufika hapaHii ndio tunaita negativity bias.,.
AI ina faida mara million zaidi ya hasara zake,.Tafuta Documentary inaitwa The Thinking Game uone organs zinavyopandikizwa zikiwa connected na ubongo(neuroprosthetics)
Ni hype tu mkuu na ndio maana hakuna hata kampuni moja ya AI inayotengeneza faida ukiondoa Anthropic. Na hata hiyo AGI watu wana mashaka kama itawezekanaHuu ndio moja ya uvumbuzi wa hovyo na hatari kuwahi kufanywa duniani nayo ni AI Kiswahili wanaita sijui akili mnemba sijui unde sijui.
Ila AI ni moja ya vumbuzi mbaya na hatari kuwahi kufikiri na kufanywa.
AI ni kitu cha hatari kuliko hata bomu la kinyuklia ubaya unaoendelea sasa ni ushindani wa AI kwenye silaha za kivita mataifa makubwa yanacho jaribu kufanya ni kitu kibaya.
Kwa sasa tupo kwenye weak AI yaani kwa ufupi ni sawa na mtoto anayenyonya hata kutambaa bado hajaanza siku huyu mtoto akikua ni disaster.
Najua mkuu watu wa aina yako,Kila kitu kipya or maendeleo kwenu ni threat to humanity bila kujali faida zake,.tukijadili mambo kwa njia hiyo(Negativity bias) basi Kila kitu duniani ni hasara,Dini,democracy, Ndoa,Elimu nk..Pia mtafute Godfather wa AI Geoffrey Hinton uone anasema nini kuhusu hiyo hiyo AI aliyo shiriki kui develop mpaka kufika hapa
Spot onKwa nini kujipa hofu kwa kuufikiria Ubaya wa kitu wakati uzuri wake upo?
Hata sasa hivi vipaji vingi tayari vinapotezwa, age ya kwamba ukiwa na kipaji unaweza kutoboa kimaisha inaelekea kuisha, AI zinacopy kila kitu tena bila ruhusa ni wizi nje nje unaendelea.Huu ndio moja ya uvumbuzi wa hovyo na hatari kuwahi kufanywa duniani nayo ni AI Kiswahili wanaita sijui akili mnemba sijui unde sijui.