For the first time, scientists have used artificial intelligence to create new kinds of viruses, raising hopes for medical advances while also raising the disturbing possibility that the technology could someday be used to invent dangerous pathogens.Ni hype tu mkuu na ndio maana hakuna hata kampuni moja ya AI inayotengeneza faida ukiondoa Anthropic. Na hata hiyo AGI watu wana mashaka kama itawezekana
Na hizi ndizo hatari hata wasomi wake wakubwa na wachangiaji wa maendeleo yake wanaonya na mpaka sasa AI ni moja ya teknolojia imeachwa huru sana hakuna udhibiti serious wowote unaochukuliwa.Hata sasa hivi vipaji vingi tayari vinapotezwa, age ya kwamba ukiwa na kipaji unaweza kutoboa kimaisha inaelekea kuisha, AI zinacopy kila kitu tena bila ruhusa ni wizi nje nje unaendelea.
Tunakoelekea tunaenda kwenye AI state, Majeshi, Polisi, mahakama zinaenda kuwa replaced na AI, itafika stage kiongozi anaingia madarakani kwa button moja Tu anaweza Ku identify wapinzani wake Nchi nzima hata kama ni mamia ya mamilioni ya watu na akwaadhibu chap tu.
Unajua pia inaweza kudanganya ?Sisi wazazi tulioishia la 7B inatusaidia sana maana watoto wetu hawa tuliowapeleka ST. ACADEMY hawatusumbui na H/W..
AI ipo hata kabla ya Uhuru wetu wa Bendera,, kikubwa ni matumizi.
FactAI ni mbaya kama utaitumia kwenye matumizi mabaya. Ukiitumia kwenye matumizi sahihi, AI ni habari nyingine.
Hiyo hiyo njia imeua watu kwa kupewa tiba zisizo sahihi.Najua mkuu watu wa aina yako,Kila kitu kipya or maendeleo kwenu ni threat to humanity bila kujali faida zake,.tukijadili mambo kwa njia hiyo(Negativity bias) basi Kila kitu duniani ni hasara,Dini,democracy, Ndoa,Elimu nk..
Msiwe attracted to possibilities,fikiria future(positive) ya maendeleo ya AI,.Kuna mdada Kapost anasumbuliwa na Cancer,but kumbuka jina hili Sir Demis Hassabis,soon anaenda kuleta Tiba ya Cancer,ushawahi kujua DeepMind ni nini?No you don't...
Mkuu hizo ndizo leading kwenye industry serikali ya Marekani katika ulinzi inatumia hizo models zao kufanya inayofanya...For the first time, scientists have used artificial intelligence to create new kinds of viruses, raising hopes for medical advances while also raising the disturbing possibility that the technology could someday be used to invent dangerous pathogens.
Mataifa makubwa yanaichukulia serious kuliko hata tunavyodhani hapa na ndio maana hata majeshi yao yanaipa nafasi kubwa na wanaweka pesa nyingi.
Sina hakika kama wanatazama faida kwa sasa ila wanaangalia maendeleo yake hapa na huko wanapopataka kufika.
Siku AI ilipoanza kutumika rasmi sioni mataifa makubwa yakirudi nyuma.
Na tunapo zungumzia AI mkuu tusiishie tu kutazama hizi ChatGPT,DeepSeek,Kimi AI,Claude....... tutazame beyond that
Sijui kuhusu wewe,ila mimi binafsi naijua..Hiyo hiyo njia imeua watu kwa kupewa tiba zisizo sahihi.
Kati yangu,yako na Geoffrey Hinton nani anaijua AI ?
Elon anajali kuhusu pesa unaweza kusema hivyo mkuu China nao ? Huko kwenye majeshi yao wanatafuta pesa kwa ajili ya nini ? Huko kwenye maabara zao ?Mkuu hizo ndizo leading kwenye industry serikali ya Marekani katika ulinzi inatumia hizo models zao kufanya inayofanya...
Data zinaonyesha kuwa makampuni yaliyowaondoa wafanyakazi na kuwareplace na AI mwisho wa siku yamerudisha hao watu... AI iko poa ila ina hype ndani yake pia kwa ajili ya kupiga ela ya wawekezaji ndio maana hata Elon musk space x kaifanya iwe AI companya badala ya space company kabla ya IPO yake ambayo ali over value thamani ya kampuni.
Mkuu AI pia ina mengi mazuri ila mimi hofu ni kama itaweza kufikia AGI which I doubt hapo itakuwa balaa
Na imesha kudumaza bossAi inadumaza akili
Mimi nitaendelea kuchagua upande wa uzuri wake. Ubaya wake haunihusu!Uzuri unauona sasa kwa sababu you're against weak AI
When you are at 65+ utajua umuhimu wa hivyo vyoo boss. Na mm nilikuwa naona hivyo ila nilikuja kuona umuhimu wake kwa wazee wangu. Usiombe.Upo ugunduzi mwingi wa hovyo ila choo cha kukaa ni namba moja
Kampuni kibao za marekani wanatumia models za AI za china kurun biashara zao kwa sababu ni open source na cheaper compared tu hizo. You can google that.Elon anajali kuhusu pesa unaweza kusema hivyo mkuu China nao ? Huko kwenye majeshi yao wanatafuta pesa kwa ajili ya nini ? Huko kwenye maabara zao ?
Ooh so una maana kama mtu Ana elimu na mchango zaidi yako katika jambo fulani basi Kila atakacho comment kisikikizwe??...Ila hufiki elimu wala mchango alionao Hinton kwenye AI
FactAI haiwezi chukua nafasi ya akili ya binadamu, italeta tuu usaidizi.
Ulishawahi labda kupata maumivu ya goti na ukawaza kuhusu kutumia choo cha kuchuchumaa?Upo ugunduzi mwingi wa hovyo ila choo cha kukaa ni namba moja