The rapid advancement of artificial intelligence (AI) is transforming industries at an unprecedented pace, and the business of warfare is no exception. AI-enabled weapons are reshaping modern warfare with significant implications for strategic planning, battlefield operations, and the ethical employment of military force. Nations are racing to integrate AI into military operations, with Ukraine and Russia at the forefront of developing autonomous systems for battlefield advantage. But as they integrate AI into combat, one critical question remains: how much should we rely on it, and at what risk?Kampuni kibao za marekani wanatumia kodels za AI za china kurun biashara zao kwa sababu ni open source na cheaper compared tu hizo. You can google that.
Elon na X ai yake unaambiea wafanyakazi wa serikali wamelipiwa kuitumia lakini hawaitumii.
Kwenye majeshi wanaitumia kuanalyse data, kuonyesha potential targets lakini bado pia zinafanya makosa kama ambavyo ili wamislead kushambulia shule ya Iran wakidhani ni kambi ya jeshi.
Inategemea na elimu na mchango wako katika taaluma hiyo ni kujua what's is physics haikufanyi uwe na uelewa kuhusu physics sawa na Isaac NewtonOoh so una maana kama mtu Ana elimu na mchango zaidi yako katika jambo fulani basi Kila atakacho comment kisikikizwe??...
Sjawahi kuitumiaNa imesha kudumaza boss
Itategemeana na hio AI imefika hatua gani ?
Huenda unatania au hujui teknolojia ya AI. Nina uhakika umetumia sana tu. Hizo Chat GPT na language model nyingine ni sehemu ndogo sana ya AI.Sjawahi kuitumia
Ok tufanye sjui tech inshort sjawahi kutumia AIHuenda unatania au hujui teknolojia ya AI. Nina uhakika umetumia sana tu. Hizo Chat GPT na language model nyingine ni sehemu ndogo sana ya AI.
Watu walitakiwa waandika specific for Old People ila hili kuweka vyoo vya kukaa hasa kwenye public Toilets ni upuuzi.When you are at 65+ utajua umuhimu wa hivyo vyoo boss. Na mm nilikuwa naona hivyo ila nilikuja kuona umuhimu wake kwa wazee wangu. Usiombe.
Yes, whatever the Case Choo cha kukaa ni uvumbuzi wa hovyo hauzingatiihata safety precaution kwa watumiaji.Ulishawahi labda kupata maumivu ya goti na ukawaza kuhusu kutumia choo cha kuchuchumaa?
Ila AI ni moja ya vumbuzi mbaya na hatari kuwahi kufikiri na kufanywa.
kitu chochote bandia hakifaiTupe hayo maubaya ya AI mzee
nyakati za mwisho zitakuwako nyakati za hatari. Maarifa ya wengi yataongezekaHii AI mnayotumia sasa hivi ni ya mwaka 1996, 3 decades back. Wazungu wameamua kui release to the public kuhakikisha watu hawafikirii tena kwa akili zao bali wategemee AI. AI ya mwaka 2005 siku ikiachiwa hamna atakaekuwa na skills za kui handle hasa kwa hizi nchi tegemezi.
Mbona ukiona makebo ya kichina, macho kodo?kitu chochote bandia hakifai
hamna. Sina maisha ya hivyoMbona ukiona makebo ya kichina, macho kodo?
Mbona ukimuonawanamke aliyepaka "kerolait" ndiyo wewe huyo kuomba namba?
14 August 2026
Agentic AI to AGI Artificoal General Intelligence (AGI) and Artificial Superintelligence (ASI)
The Promise and Peril of Artificial Intelligence: Implications for Higher Education -- AGO Mutambara
View: https://m.youtube.com/watch?v=XLX5yEw2fGoThe Promise and Peril of Artificial Intelligence: Implications for Higher Education; By Arthur Guseni Oliver Mutambara
Source : Arthur Murambara