Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Habari waungwana wa JF
Nianze kwa kidokezo hiki;
"Nautabiri mwisho wa rafiki,
Kama ndivyo naomba maulana,
Usimtende hivyo"
Hiki kilikuwa kipande cha mashairi kwenye nyimbo ya mshiriki mmoja wa BSS kipi inarushwa na ITV (bahati mbaya nimemsahau jina huyu msanii)
Haya niende kwenye hoja mama, uvumi uvumao huko Dar es salaam hivi haya yana ukwelii!!?, eti kwenye wanaume ishirini kuna wawili siyo ridhiki? (Hebu tufikiri pamoja hapa)
Kwani pale Dar wewe una marafiki wangapi wanaume?, binafsi imenishitua tetesi inayoitwa ripoti kwa mkuu. Hivi huu uvumi uvumao haudondokei kwenye xile takwimu zilizokatazwa? Zile za kupika (kwa mfano)
Haya wenye takwimu yenu mnaujua ukweli wake, mimi yangu ni hayo tu, hili naliita 'pigo kwa wanaume wa Dar)
Narudia kufunga uzi wangu kwa kidokezo;
"Nautabiri mwisho wa rafiki,
Kama ndivyo naomba maulana
Usimtende hivyo"
Nb: picha kama ilivyo nikuweka nguvu tu kwa hoja swali yangu, si kwa matumizi mengineyo (wala huu uzi si takwimu)