kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Umechukuliwa demu kijijin kwenu na kijana wa dar ukaona uje kuzua mambo huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala iyo haichangii ,,,tupo kwenye wakati wa mwishoSiku hizi mashoga wanazidi kuongezeka nadhani sababu ya hali ngumu kiuchumi
Ushoga na usagajii kwa sasa dar na mikoa miingine ni Jambo la kawaida tu,wanaume wanaofiranaHabari waungwana wa JF
Nianze kwa kidokezo hiki;
"Nautabiri mwisho wa rafiki,
Kama ndivyo naomba maulana,
Usimtende hivyo"
Hiki kilikuwa kipande cha mashairi kwenye nyimbo ya mshiriki mmoja wa BSS kipi inarushwa na ITV (bahati mbaya nimemsahau jina huyu msanii)
Haya niende kwenye hoja mama, uvumi uvumao huko Dar es salaam hivi haya yana ukwelii!!?, eti kwenye wanaume ishirini kuna wawili siyo ridhiki? (Hebu tufikiri pamoja hapa)
Kwani pale Dar wewe una marafiki wangapi wanaume?, binafsi imenishitua tetesi inayoitwa ripoti kwa mkuu. Hivi huu uvumi uvumao haudondokei kwenye xile takwimu zilizokatazwa? Zile za kupika (kwa mfano)
Haya wenye takwimu yenu mnaujua ukweli wake, mimi yangu ni hayo tu, hili naliita 'pigo kwa wanaume wa Dar)
Narudia kufunga uzi wangu kwa kidokezo;
"Nautabiri mwisho wa rafiki,
Kama ndivyo naomba maulana
Usimtende hivyo"
Nb: picha kama ilivyo nikuweka nguvu tu kwa hoja swali yangu, si kwa matumizi mengineyo (wala huu uzi si takwimu)
View attachment 659728
Dar ndiyo chimbo.....Ushoga na usagajii kwa sasa dar na mikoa miingine ni Jambo la kawaida tu,wanaume wanaofirana
Sasa Ni wengi na wanawake wanaosagana pia Ni wengi
Dar Ni kwasababu watu Ni wengi na sarehe zipo nyingi lakini ushoga na usagajii hate mikoani upo Sana,jaribu kutembelea Facebook nabinsta utaona watu wanavyojitangazaUshoga na usagajii kwa sasa dar na mikoa miingine ni Jambo la kawaida tu,wanaume wanaofirana
Sasa Ni wengi na wanawake wanaosagana pia Ni wengi