Uvumi/Tetesi: Mtoto wa Kikwete (8) kugombea Uenyekiti Chipukizi?

Uvumi/Tetesi: Mtoto wa Kikwete (8) kugombea Uenyekiti Chipukizi?

Status
Not open for further replies.
Issue sio 'kuwa mtoto wa Rais'....apimwe kwa uwezo wake! kama anafaa kwa mujibu wa vigezo vya chipukizi wa UVCCM...well and good!

Labda tunajadili kwa kutoifahamu CCM lakini kama tunaijua CCM vizuri hakuna la kujadili hapa.

Watu wanamponda Mkapa lakini madudu ya JK ni noma kuliko hata mkapa.
 
Labda tunajadili kwa kutoifahamu CCM lakini kama tunaijua CCM vizuri hakuna la kujadili hapa.

Watu wanamponda Mkapa lakini madudu ya JK ni noma kuliko hata mkapa.

Ndiyo tulivyo!! Subiri 2015 JK akitoka madarakani utasikia mengi tu. Hata akina Makamba watamgeuka.
 
Mtoa hoja nadhani wewe mtoto wako mpeleke shule tu ya maana na mkazanie asome mambo ya siasa waachie wanaotaka siasa. Ukiwa na elimu ya kutosha, nzuri na profesional huta hangaika na vyeo vya kugombea.

Is it really true? How comes maprofessor na maprofessional wengi tunaowajua wameenda kwenye siasa licha ya Elimu ya maana waliyonayo? Kama mtu akiwa na elim ya kutosha hatahangaika na vyeo vya Ubunge unasemaje kuhusu hawa madaktari na maprofesa waliojazana huko?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom