Mtoa hoja nadhani wewe mtoto wako mpeleke shule tu ya maana na mkazanie asome mambo ya siasa waachie wanaotaka siasa. Ukiwa na elimu ya kutosha, nzuri na profesional huta hangaika na vyeo vya kugombea.
Is it really true? How comes maprofessor na maprofessional wengi tunaowajua wameenda kwenye siasa licha ya Elimu ya maana waliyonayo? Kama mtu akiwa na elim ya kutosha hatahangaika na vyeo vya Ubunge unasemaje kuhusu hawa madaktari na maprofesa waliojazana huko?