Uvumilivu sasa basi

Uvumilivu sasa basi

kilauJr

Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
7
Reaction score
0
Kinacho endelea bungen ni ishara tosha uvumilivu umewashinda mpaka wabunge huku nje na ndani ya bunge ikiwa ni pamoja na ufisadi. Mikataba hewa.. Halo ngumu ya kimaisha wa raia pamoja na amani kwa ujumla baada bunge kuisha kitakacho kuja kutokea ni wanasiasa kuahamishia mashambulizi hasa wale wa upinzani kuipiga vita serikalibiliyopo madarakani
 
Back
Top Bottom