Uvumilivu umemshinda Dkt. Hamis Kigangwala, aahidi 'Kujilipua' mazima kwa 'Maadui' zake Januari hadi Desemba 2022

Uvumilivu umemshinda Dkt. Hamis Kigangwala, aahidi 'Kujilipua' mazima kwa 'Maadui' zake Januari hadi Desemba 2022

Huyu jamaa ana elimu ila ni empty box kabsa... Cjui kwa nini CCM bado wanamshikilia..

Nishawahi semaga huyu jamaa itakuwa hata anachambana na mke wake au dereva wake..
 
Mungu yupo. Muda utaongea! Nipo holiday mood, mniache tumalize Mwaka halafu tutaenda Hoja kwa Hoja. Huu Mwaka ulikuwa mrefu sana kwangu! Nilinyamaza upite, ujao sitokuwa kimya. Tutaanza kuongea January mpaka Disemba! InshaAllah!

Chanzo: Dk. Hamis Kigangwala MB

Kuna uwezekano mkubwa baadhi ya Wenzetu wanaugua Ugonjwa wa Akili ila bado hawajajitambua tu.

Hivi Jemedari mzuri wa Vita anaweza Kuahidi ni lini ataanzisha Mashambulizi yake kwa Maadui zake?

Unaposema kuwa nawe utajibu mapigo yao kwa Kukuchokoza ( Kukushambulia ) hao Maadui zako walikuambia kuwa Silaha zao za Kukukabili zimeisha?

Wenye Akili tunajua kuwa kuna Watu mlidanganywa mno na mpaka kufikia Kuhonga baadhi ya Watu ndani ya 'System' ili mlambe 'teuzi' ila 'Mama' kawatosa na mmenuna kiasi cha kutuahidi Mambo ya Kipuuzi kuanzia mwakani.

Haya tunakusubiri tuone na Ahadi yako.
Huyu hana lolote,kwanza hata huko kwenye lake la puge nzega watu hawamtaki na kamwe hatashinda tena,haelewani na ccm wilaya,hana hata mtu anayeelewana nae,na hii ndio shida ya kuzaliwa na kutomjua baba yake

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wenye Akili tunajua kuwa kuna Watu mlidanganywa mno na mpaka kufikia Kuhonga baadhi ya Watu ndani ya 'System' ili mlambe 'teuzi' ila 'Mama' kawatosa na mmenuna kiasi cha kutuahidi Mambo ya Kipuuzi kuanzia mwakani.
Tumefikia hatua hiyo kweli? Mfumo jamani kwa nini lakini!
 
Back
Top Bottom