njoo kwetu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 801
- 1,795
Atamaliza kutoa watoto kafara ili apate uwaziri tena.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Huyu hana lolote,kwanza hata huko kwenye lake la puge nzega watu hawamtaki na kamwe hatashinda tena,haelewani na ccm wilaya,hana hata mtu anayeelewana nae,na hii ndio shida ya kuzaliwa na kutomjua baba yakeMungu yupo. Muda utaongea! Nipo holiday mood, mniache tumalize Mwaka halafu tutaenda Hoja kwa Hoja. Huu Mwaka ulikuwa mrefu sana kwangu! Nilinyamaza upite, ujao sitokuwa kimya. Tutaanza kuongea January mpaka Disemba! InshaAllah!
Chanzo: Dk. Hamis Kigangwala MB
Kuna uwezekano mkubwa baadhi ya Wenzetu wanaugua Ugonjwa wa Akili ila bado hawajajitambua tu.
Hivi Jemedari mzuri wa Vita anaweza Kuahidi ni lini ataanzisha Mashambulizi yake kwa Maadui zake?
Unaposema kuwa nawe utajibu mapigo yao kwa Kukuchokoza ( Kukushambulia ) hao Maadui zako walikuambia kuwa Silaha zao za Kukukabili zimeisha?
Wenye Akili tunajua kuwa kuna Watu mlidanganywa mno na mpaka kufikia Kuhonga baadhi ya Watu ndani ya 'System' ili mlambe 'teuzi' ila 'Mama' kawatosa na mmenuna kiasi cha kutuahidi Mambo ya Kipuuzi kuanzia mwakani.
Haya tunakusubiri tuone na Ahadi yako.
Ni dr kwa kusomea lakini hawezi ku practice kwa sababu hakufanya internNi Dr. by professional au huu wa kupeana.
But bro haruhusiwi kupractise kwasababu alikataa kufanya internBy professional.
Tumefikia hatua hiyo kweli? Mfumo jamani kwa nini lakini!Wenye Akili tunajua kuwa kuna Watu mlidanganywa mno na mpaka kufikia Kuhonga baadhi ya Watu ndani ya 'System' ili mlambe 'teuzi' ila 'Mama' kawatosa na mmenuna kiasi cha kutuahidi Mambo ya Kipuuzi kuanzia mwakani.
Kwani teuzi ya mwanzo alitoa kafara?Atamaliza kutoa watoto kafara ili apate uwaziri tena.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Ndiyo zake huyoKwani teuzi ya mwanzo alitoa kafara?