Wanajamvi, habari zenu.
Naomba niende kwenye mada. Nilikuwa na rafiki yangu wa kike ambaye nilikutana naye kwa mara ya kwanza mwezi wa tisa mwaka jana nikiwa katika mizunguko yangu ya utafutaji. Nilimtongoza wakati huo, akakataa. Jinsia yangu ni Mwanaume (Me).
Mwaka huu, mwezi wa pili, nilimtafuta nikamuomba tuonane. Akakubali, akaja gheto, urafiki ukaanza upya, maisha yakaendelea. Ilikuwa nikimuomba mechi, anagoma. Baadaye, nilimtafutia kazi, akapata, na ndipo alianza kuonyesha dharau. Akaanza kudai mimi na yeye ni marafiki, hatuna uhusiano wowote. Ikabidi niamue kuvunja urafiki pia, maana utanifanya nikose mchumba.
Ugomvi wa mimi na yeye umetokana na dharau zake na kuwa na urafiki na wanaume wengine huku akitaka niendelee kuwa rafiki yake. Imebidi nivunje uhusiano wetu kwa gharama zote, ikiwemo kufunga laini niliyomsajilia.
Nimechoka! Nahisi kwenye huu uhusiano na urafiki, nilikuwa mwanamke na yeye alikuwa mwanaume.
Mwanaume atabaki kuwa mwanaume tu—no choice. Lose me or respect me.