Uvumilivu umenishinda, nimemaliza urafiki na kufuta kila kitu!

Sharti namba moja: Hamma urafiki kati ya mwanaume na mwanamke mkuu
 
Sasa wew dogo ulimfata mwenyewe alafu ukampa Kila kitu mwisho unasema lose me or respect me . Ivi una akili?? 😅
 
“Ilikuwa nikimuomba mechi, anagoma. Baadaye, nilimtafutia kazi, akapata, na ndipo alianza kuonyesha dharau.”

HIVI MZEE HUWA UNAHUDHURIA VIKAO KWELI?🤔
Halafu anakuita rafiki😅

Hili limeniliza sana🥲😂
Alishindwa kumla toka kitambo hana mishe😄🤣
 
Wewe utakua ni shoga,maana ndio tabia zao hizo kua na marafiki wa kike,
 
Sasa uwanaume wako hapo uko wapi? 😹

Kazi umemtafutia na penzi hujapewa aloo.!! Hiyo mbaya sanaaa!! 😹😹
 
😀😀😀😀 Hivi mtaenda VETA kweli na hizi heka heka zenu???
 
Too many logical contradictions
 
Tayari hapo.

Sasa nani mshindi hapo, maana ni kama umemsaidia kufunga goli.😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…