Uvumilivu umenishinda, nimemaliza urafiki na kufuta kila kitu!

Hili limeniliza sana,
Vipi kijana unamjua,
Jamaa anaitwa,
Natafuta Ajira

Natafuta ajira amekuwa akijitolea mara kwa mara mafunzo ya mahusiano,kwa mfano kwa mafunzo ambayo amewahi kuyatoa
ni.

Kuhusu simp (weakmen).

Nasikititika kutangaza kwamba wewe ni simp bro.

please i beg you to man up again🙏
 
 
“Ilikuwa nikimuomba mechi, anagoma. Baadaye, nilimtafutia kazi, akapata, na ndipo alianza kuonyesha dharau.”

HIVI MZEE HUWA UNAHUDHURIA VIKAO KWELI?🤔
Halafu anakuita rafiki😅

Hili limeniliza sana🥲😂
Yaan alianza kuonyshwa dharau kabla hata hajamtafutia kazi ila alikuwa hajitambui
 
Kwanini hukumuharibia na hiyo kazi yenyewe??
 
Kuna mambo yanasikitisha sana.

Kiufupi huyo mwanamke amekuzidi akili, hakutaki na amegundua wewe ni ngazi nzuri ya mafanikio yake.
Wewe ni dhaifu sana
 
Mkiwa mme-fall in love kaka zenu tukiwambiaga ukweli kuhusu selfish na manipulative nature ya mwanamke huwa mnatuambia tutafute hela sijui tuna inferiority complex, haya sasa kula chuma hicho
 
Ulichelewa kujua kuwa wew ni "simp" pole sana huenda kweny moyo wake hajutii sana kukupoteza kwasabab alikupa nafasi ya mwisho
 
Kuna mambo uliyotuficha hapo.
Kwanza umeandika kimhemko kama unamfokea yeye.

Hakuna urafiki wa kalamu wa sampuli hiyo kwa maisha ya leo.

Ninajua unaumia sana kumtafutia hadi kazi na kisha aendeleze ukichwangumu kukupiga chini.

Ulitegemea kuwa ukishamtafutia kibarua ni lazima atakuwa kwenye himaya yako, mipango siyo matumizi kakupiga chini, pole we!

Hili la kusema analazimisha urafiki wa kalamu, umetudanganya, mwanamke kama hakutaki, hawezi.
 
Tunahitaji kuokaoa watoto wa Kiume aiku hizi sana.
For sure mzee, mimi nilimwambia mke wangu watoto wa kiume wakifika umri wa balehe nitakuwa nawapa kabisa hela za kuhonga maana baba yao, sahivi 🤔😅

nachezea za mbavu kukataliwa kisa no money
Sometimes unakubaliwa na mtoto mkali alafu akiomba Ankara japo Ata elfu 5 sina🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…