Kwanini umeyaruhusuuuuuWe si ulinifukuza eti nnlikuletea ugoro
umeloa Mara mkongojo umepinda Mara
hunitaki unawajuu wapya na umesha wakagua
..... Mi bado na wivu na ninaondoka zangu ...
Aspirin ulichosema ni kweli kabisa. Kuna kipindi penzi linaisha tunalazimisha kwa kujiita wavumilivu.
Aingii akilini nyumba ndogo initukane saloon (kwanza ningeua aisee) na kuja kulala kitandani kwangu na kuvaa kitenge changu juu. Hapana.... Ndio kusamehe kupo (si saba mara sabini though) na kunategemea mazingira kama yata niconvince kuwa ni worth kusamehe...ila kuvumilia ni BIG NO
Maisha yenyewe mafupi; who is he kunifanya nilie mwaka, miwili, mitatu...? hata kama angekuwa ni the last man standing hapa duniani.
Nimewahi kusamehe lakini sijawahi kuwa mvumilivu. Na baba nanii anajua kuwa niko principled. Mfano siwezi kujua kuwa jamaa ana nyumba nyingine anaudumia afu mimi nikubali kukaa eti navumilia atajirudi. Ni kukosa kujiamini kuwa bila fulani maisha yamesimama.
kwa mwanaume unaemuita "mume" akakuletea hawara/kimada ndanii hiyo ni kakudharau/kakuona kinyaa, haiwezekani mwanamke na akili zako timamu useme umesamehe coz ya "uvumilivu" uvumilivu huu ni upumbavu wa hali ya juu, hauna maelezo, kwamba kalala kitandani kwangu?nina hakika gani na mwanamke kama huyo mwenye roho ngumu ya kuja kwangu na kujua mke halali nipo na akalala chumba changu na me eti nikalale na watoto? pwehhh, wanawake tupunguze "uvumilivu"wa kijinga/kipuuzi....haya ni madharau yacyoelelezeka, khaa na hao wanaume wanapataga wanawake wa kuwachezea, yaani msukuma na kengele zake mbili apate nguvu ya kuniletea hawara ndani?...mhhh
nipo laaziz,mihangaiko tu, mzima wewe? hivi huyo mwanaume wa kumvumilia hadi anakuletea mwanamke ndani kitandani kwako jamani, haya maadili cjui ya kitanzania/kiafrica cjui ya yapi, upo 2 coz ni mwanaume/mume wako anafanya bac unahitaji kumvumilia, halafu tunatakiwa tuwavumilie wanaume tu hivi mie akijua nina mpango wa kando atavumilia? jamani hawa wanaume tunawavumilia kwa mengi but mengine hayo hayavumiliki jamani, yani nikupishe chumba changu haswa nikalale na watoto, mhhh hiyo ndoa ishajifia kwa upande wangu.Hivi bado yupo Nyamayao? LOL
kwa mwanaume unaemuita "mume" akakuletea hawara/kimada ndanii hiyo ni kakudharau/kakuona kinyaa, haiwezekani mwanamke na akili zako timamu useme umesamehe coz ya "uvumilivu" uvumilivu huu ni upumbavu wa hali ya juu, hauna maelezo, kwamba kalala kitandani kwangu?nina hakika gani na mwanamke kama huyo mwenye roho ngumu ya kuja kwangu na kujua mke halali nipo na akalala chumba changu na me eti nikalale na watoto? pwehhh, wanawake tupunguze "uvumilivu"wa kijinga/kipuuzi....haya ni madharau yacyoelelezeka, khaa na hao wanaume wanapataga wanawake wa kuwachezea, yaani msukuma na kengele zake mbili apate nguvu ya kuniletea hawara ndani?...mhhh
nipo laaziz,mihangaiko tu, mzima wewe? hivi huyo mwanaume wa kumvumilia hadi anakuletea mwanamke ndani kitandani kwako jamani, haya maadili cjui ya kitanzania/kiafrica cjui ya yapi, upo 2 coz ni mwanaume/mume wako anafanya bac unahitaji kumvumilia, halafu tunatakiwa tuwavumilie wanaume tu hivi mie akijua nina mpango wa kando atavumilia? jamani hawa wanaume tunawavumilia kwa mengi but mengine hayo hayavumiliki jamani, yani nikupishe chumba changu haswa nikalale na watoto, mhhh hiyo ndoa ishajifia kwa upande wangu.