Ukiona Mtu anaongelea uvumilivu katika ndoa maana kuna mabadiliko au tofauti zisizo za kawaida. Kuna option mbili yaani Kama mnaanza maisha na hamna family basi fikiri faida za kuvunja ndoa na Toa hasara upate jibu. Lakini Kama mnao watoto basi hesabu zake zinakuwa ngumu kwani mchakato wa faida na hasara unahusisha na watoto ..
Lakini kumbuka ndoa ikiwa na tofauti basi haipo.. Wanaokuambia uvumilie wanalazimisha maisha yasiyo kuwepo...Kama maelewano yapo .. Neno uvumilivu halipo! Anayekushauri kuvumilia ndoa wakati wewe unapigika Mwambie aje ajaribu yeye !
Afu weye mbona hujanambia kama kuna sredi umeanzisha? Hivi gfsonwin bado uko kwenye mapenzi ya tamthilia? Ambia wote MwanajamiiOne, Mbu, nyumba kubwa, Mamndenyi Dark City na legends wote wa MMU... Kwenye penzi la kweli HAKUNA uvumilivu kwa kuwa penzi la kweli halina kisababisho cha mtu Kuvumilia. UVUMILIVU huja kwenye penzi la kulazimisha.... AMINA
Afu unajua nimekumisije lakini?Mbona mimi nipo navumilia ukimya wako? au penzi letu ni la kulazimisha? Aisee nakutafta sana
Afu unajua nimekumisije lakini?
shemeji upo?? mi mithd u huku kha! hivi mi na wewe tunavumiliana, thieti ee??Hommie uyo ndo nan? Sikmbuki kumsajili
shemeji upo?? mi mithd u huku kha! hivi mi na wewe tunavumiliana, thieti ee??
gfsonwin hebu kam kwa pm kwanza, nina habari nyeti za kidplomasia lol! shem pole kwa majukumu ndio raha ya kuwa bred winner!Kha! Shem upp? Nimekumisije sasa? Nipo sema nimetingwa kidogo
Na ripoti za gwajima na
Kova za kiuchunguzi ila nipo shem wangu,,, uvumilivu una huu sana tu mulize gfsonwin dadako wa moyoni!
Afu unajua nimekumisije lakini?
Hommie uyo ndo nan? Sikmbuki kumsajili
Mkuu gfsonwin nakubaliana nakubaliana na maelezo yako yote hapo juu ila kuna kitu kimoja ambacho umekosea nacho ni kusema kuwa uvumilivu hutangulia na upondo hufuatia.
Nadhani unafahamu katika ulimwengu huu hakuna kitu kikuu kama upendo na upendo ukikosekana ndipo haya maovu yote hutokea. Sidhani kama ungekuwa unampenda jirani yako kama unavyoipenda nafsi yako ungemweza kumuibia jirani yako, kumtapeli, kumuibia mume wake n.k. lakini hayo yote hutokea kwa sabau hakuna upendo...(Samahani kwa kukutolea mfano)
Upendo siku zote hutangulia ndipo mambo mengine yote ikiwemo uvumilivu hufuata bila upendo hayo mengine yote hayawezi kutokea.
mdogo wangu YM hayo uyasemayo kindharia ndivyo ilivyo lakn ukiwa unaish maisha ya ndoa kama ndoa yakupasa kushuffle uvumilivu utangulie na upendo ufuate. ukitanguliza upendo halafu mwenzio aikukoea utaumia sana na kuchukuia sana lakn uv=kiweka uvumikivu nakuhakikishia utaona ni sehem ya maisha na utaichukulia kama changamoto
siku uakapokuwa kisha ukaoa utajua maana ya entensi yangu.