Uvunaji wa Maji ya Mvua, Ungemaliza tatizo la maji Dar na Dodoma. Mamlaka amkeni na hili!

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,308
Reaction score
12,812
UVUNAJI WA MAJI YA MVUA (Rainwater Harvesting)

Simpo tu Mamlaka za Maji chini ya Wizara ya Maji fikirini jili ni rahisi tu:

Si teknolojia ya ajabu —

ni mabomba + matenki tu. Done.
 
Pia system ya ku recycle maji machafu.
Kifupi tuna viongozi wavivu, vilaza, wasiopenda kufikiri nje ya box, kupendelea ngono tu!
Kijana mdogo wa kiume ku concentrate kuoa kila kukicha wategemea atafanya kazi kweli?!
DAWASA
 
Hii inapassa zaidi kuanzia kwenye individual level. Kila mwenye jengo anapaswa kuvuna maji ya mvua kupinguza stress ya maji ya mamlaka
Ukiweka gutters na kuwa na tank la kutosha inasaidia sana
Mimi nimefanya hivyo na sina shida na maji ya serikali kwa miaka zaidi ya 10 sasa
Serikali kwenye majengo kama zahanati na mashule pia wangefanya hivyo na kwa kiasi fulani itapunguza hata mafuriko mijini
 
Una Tank Lita ngapi mkuu?
 
Una Tank Lita ngapi mkuu?
Nina ma tank mawili ya kujengea 70K na 30K jumla lita 100000
Kwa week natumia lita 3000-5000
Napandisha kwa pump kutoka chini kuingiza simtank lita 5000 kwa matumizi ya ndani na nje kwenye bustani na mifugo
Yanajaa mvua za masika Mar-May yakipungua ikifika mvua za vuli Dec-Jan yanaongezeka mpaka March tena nasafisha tank kwa ajili ya msimu mpya
 
Maji yanachukuliwa toka mbali kwa mabomba Tanzania imezungukwa na vyanzo vya maji kila sehemu harafu tupo busy tunazungumzia upungufu wa maji sio kweli..
Johannesburg maji waneyatoa kwenye vyanzo vya milma ya Lesotho na limejengwa Tank kubwa wao wanasema kuliko matank yote Afrika maana lina uwezo wa kusambaza maji Jozi,Pretoria,North west Province na Eastern Province huko na maji hayakatiki na gharama yao pia sio kubwa tank lipo Soweto..Rand water..
Watanzania kutoa Maji Mororogoro tu hapo kwenye vyanzo vya maji hatuwezi miaka 60 tunazungumzia maji ya mto Ruvu..
 
Mada kama hizi ukichangia very hard unaonekana mkorofi.Kukosa maarifa na dharau nyingi.
Kuna pahala palijengwa Chuo na hawa ndugu zetu rangi nyeupe.
Jamaa wakaja na wazo kuwa hapa ninpa kubwa sana kama tutakusanya maji ya mvua na kweli.
kikajengwa kisima cha litra 1M cha kukusanya na kupandisha maji kwenye matank ya zaidi ya 3M litres.
sisi sasa ngozi ya bluuu...rushwa na ubishi.
Maji yanachukuliwa toka mbali kwa mabomba Tanzania imezungukwa na vyanzo vya maji kila sehemu harafu tupo busy tunazungumzia upungufu wa maji sio kweli..
Johannesburg maji waneyatoa kwenye vyanzo vya milma ya Lesotho na limejengwa Tank kubwa wao wanasema kuliko matank yote Afrika maana lina uwezo wa kusambaza maji Jozi,Pretoria,North west Province na Eastern Province huko na maji hayakatiki na gharama yao pia sio kubwa tank lipo Soweto..Rand water..
Watanzania kutoa Maji Mororogoro tu hapo kwenye vyanzo vya maji hatuwezi miaka 60 tunazungumzia maji ya mto Ruvu..
 
Nina ma tank mawili ya kujengea 70K na 30K jumla lita 100000
Kwa week natumia lita 3000-5000
Napandisha kwa pump kutoka chini kuingiza simtank lita 5000 kwa matumizi ya ndani na nje kwenye bustani na mifugo
Yanajaa mvua za masika Mar-May yakipungua ikifika mvua za vuli Dec-Jan yanaongezeka mpaka March tena nasafisha tank kwa ajili ya msimu mpya
Hongera sana ,nilisema toka nasoma huku chini,Umeme na maji kwangu itakuwa historia,kuna kisima cha chini..plus tank la kukusanya maji 200k
Solar backup hata wazime umeme wao mwaka maisha yanaendelea.

Hii kitu ni gharama ila ukienda nayo mdogo mdogo unakamilisha na kuna vitu lazima ushangar ukisikia leo 2026 tunabeba ndoo kichwani..
 
Singapore walikuwa na tatizo kubwa sana la maji mpaka kununua kutoka Malaysia
Wakaanza kuvuna maji yao wenyewe ya mvua (rain na surface water), maji taka (sewage) na wakafanya desalination ya maji ya bahari
Wameweka system kila tone la mvua yanaenda kwenye mitambo ya kusafisha na kurudi mitaani kwa shughuli za bustani na ufugajj
Maji ya choo na bafuni yanaenda kwenye system nyingine kwa ajili ya viwanda na shughuli za viwanda na fire hydrants kuzimia moto
Maji ya kunywa yanatokana na ya mvua au ya baharini, desalinated
Kwa hiyo kila jengo lazima likusanye majk yanaingia kwenye system na maji ya barabarani yote yanaingia kwenye mifereji pia kwenda viwandani
Kila tone la maji kwao lina thamani
 
Hongera sana ,nilisema toka nasoma huku chini,Umeme na maji kwangu itakuwa historia,kuna kisima cha chini..plus tank la kukusanya maji 200k
Solar backup hata wazime umeme wao mwaka maisha yanaendelea.

Hii kitu ni gharama ila ukienda nayo mdogo mdogo unakamilisha na kuna vitu lazima ushangar ukisikia leo 2026 tunabeba ndoo kichwani..
Hongera sana,
Tunapoelekea dunia lazima uwe na back up ya maji na umeme hasa kwa nchi zetu ambazo hazina uelekeo wa kutunza resources za maji na umeme
Gharama ni za mwanzoni tu ila baadae unasahau kabisa, cha msingi ni maintenance
Hapo kwangu hawajui mgao wa maji wala kukatika umeme pia
 
Shukrani Mkuu upo sahihi.
Maisha haya ukipata pahala pa kutulia tengeneza tu kamji kako simple.
Uchawi mwingi sana,sisi kijiji huko nguzo za Rea zimepita hapo mbele tu mpaka leo mwaka wa 4 hatujawahi wekewa umeme..stori millioni..

Watu wakajichanga wakaweka solar maisha yanaendelea...then unakuja kusikia shirika linakosa hela..like serious kwenye Dunia ya leo?

Ukipata uwezi jitengenezee Mahitaji yako pasipo kuyumba yumba..seman umaskini tu huu.
 
Me napokaa iwe mvua iwe jua maji ni ni j4 na jumamosi....na kuna familia yangu moja iko kinyerezi inasema mara ya mwisho kuona maji ni siku mama alivyokua na mkutano wa kampeni dar.
 
Back
Top Bottom