Rais Samia amekuwa akisifiwa na machawa wake kwamba ni mpenda demokrasia eti ndiyo maana ameanzisha 4R.
Lakini kadiri muda unavyokwenda matendo yake ya kiuongozi ndani ya chama na serikali yanadhirisha kuwa Samia siyo muumini ya haki na demokrasia.
Tumeshuhudia akikataa kufanya mabadiliko ya miswada ya sheria za uchaguzi kulingana na mapendekezo ya wadau mpaka ameisaini kuwa sheria.
Na Sasa ndani ya chama chake ccm anasigina demokrasia kwa kuchapisha fomu moja tu ya mgombea urais kupitia ccm.
Bila shaka anafuata nyayo za mtangulizi wake aliyejitambulisha kuwa dikteta kamili. Yeye diye muanzilishi wa kuchapisha fomu moja ndani ya ccm na pia alizima internet wakati wa uchaguzi mkuu.