NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
Naaam !!! Habaari za uzima Mabibi na bwana , ni yule yule kijana wenu NALIA NGWENA zee la football sikuhizi nimepewa jina jipya naenda kama WATA PLEYA
Nisiwachoshe sana twende kwenye Maada kuu kama kichwa habari kinavyojieleza, nimeona tamko la Raisi wa shirikisho la Mpira Wallace karia akisema kuwa " timu itakayovalia nje ya uwanja (nyumba) itakatwa point 5" mwisho was kunukuu.
Ni mwambie tu karia kuwa hapo anapogusa ni utamaduni wa mapacha (simba na Yanga) katika lugha nyingine tunasema kuwa suala la ulozi kwao ni jambo la kawaida.
Kuruka ukuta, kupita mlango usio kuwa sahihi kwao hawa mapacha ni utamaduni uliopo toka enzi na enzi.
Leo hii kiongozi yeyote wa mpira akisimama na kusema avunje utaratibu huo basi atavuonjwa yeye na kuondolewa kabisa kwenye mfumo wa mpira.
Ndiyoo ukweli mchungu Kwa hiki alichzungumza Karia kama kweli kitaanza kutekelezwa basi Karia ndiyo utakua mwisho wake katika tasnia ya Mpira maana simba na Yanga wanawatu I mean mashabiki, timu hizi zona nguvu sana na ushawishi mkubwa hakuna shabiki atakayekubali timu take ikatwe point tano kwa sababu za kiimani za kishirikina (utamaduni) hapana hill halitawezekana.
Msimu wa 2026 /2027 utakua wa lawama na timu kubwa kususa kucheza endapo kutakua na utekelezaji wa kukatana point tano kwa sababu ya kuvalia nje ya uwanja.
Maoni yangu: Kama kweli kutakua na utekelezaji kama aalivyozungumza Raising wa Mpira wa miguu Karia basi namuona karia akitoka kwenye mfumo wa mpira gusa kila kitu kwenye taiga hili lakini usiguse Utamaduni wa Simba na Yanga