Pule
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 378
- 719
Habari za wakati huu!!..Kuna hili suala la uvutaji wa sigara Kila mahali,wavutaji hawajali wengine ambapo hawavuti,hawazingatii eneo wenyewe watakapo jisikia kuvuta eneo lolote wanavuta si barabarani,eneo lenyewe mkusanyiko wa watu hawajali Hilo. Hili suala linakera sisi wengine ambapo sio wavutaji na linatuumiza.
Serikali ingetenga maeneo mahususi ya kuvutia sigara na kuifadhi vipisi vya sigara vinavyobaki kama uchafu maana vinaharibu mazingira na hata jamii hususani Kuna baadhi ya watoto huokota na kwenda kujaribu kuvuta hii Ina athari sana