Uvuvi wa samaki baharini

Uvuvi wa samaki baharini

Aisee, hapo kweli mkuu, siyo unawakabidhi mtumbwi wavuvi halafu wao ndo wanashika mpini
 
Mtaji wake ili upate boti nzuri na samaki wa kukulipa, kwa kiasi cha chini andaa millioni 50. Ila itakulipa vzuri endapo utampata baharia muaminifu.
Wewe kama wewe huwezi kwenda baharini maana huwa wanaweka kambi ata adi week au mbili wakivua bahari kuu.

Ila uzuri ukiwekeza hiyo ndani ya mwaka tu yaweza kukulipa na faida juu.
apana awakai week au mwezi mm Nina kaka anafanya kazi iyo ya uvuvi uku mtwara yeye uwa anaingia jioni kurudi asubui mapema na wanapata mzigo wa kutosha kabisa
 

Attachments

  • images (7).jpeg
    images (7).jpeg
    19.7 KB · Views: 13
Back
Top Bottom