UWABATA: Nina 1300 Baby!

Mimi kama raisi wa watoto wa 2000, nampongeza ingawa sijajua kama yeye ni wa 90s au vipi
 
Agemate hao..


Kijana njoo kwa mashangazi tukulee uache kulia lia

Aje kwa mashangazi ale mema ya dunia eeh? 😀 . Kazi ni kwake sasa... msingi kiuno na kusimamia kucha. 😎

-Kaveli-
 
Mfumo wa maisha kwa sasa umewafanya wanawake wote wamekuwa ombaomba na kufanya ukahaba. wanawake wote kwa sasa ni makahaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…