UWABATA: Nina 1300 Baby!

UWABATA: Nina 1300 Baby!

Ni mtizamo tu, masela msi jenge chuki
Mnazingua, nyie ndo mnaozalisha single maza mtaani then mwisho wa siku mnakuja na project za kataa ndoa, sijui uwabata for life, single maza haolewi na blah blah kibao.

Binafsi nilikua huko kama ninyi, ila nikaja kujua tatizo lipo kwetu sisi wanaume.
Hatuutumii uanaume wetu, eidha kwa kutojua nature inataka nini au hatufuati vitabu vya dini (nature pia ipo mule).
 
Pambana na hali yenu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mnazingua, nyie ndo mnaozalisha single maza mtaani then mwisho wa siku mnakuja na project za kataa ndoa, sijui uwabata for life, single maza haolewi na blah blah kibao.

Binafsi nilikua huko kama ninyi, ila nikaja kujua tatizo lipo kwetu sisi wanaume.
Hatuutumii uanaume wetu, eidha kwa kutojua nature inataka nini au hatufuati vitabu vya dini (nature pia ipo mule).
Kaka unaeza niletea mwanamke nilie mzalisha Nika mkataa??.
 
Huyo mwanasheria uchwara anasema "Ahsante Mungu, "" Nashukuru"".

Kazi kweli kweli.

Hii aina ya vijana, ni ya hovyo kuwahi kutokea.
 
Kaka unaeza niletea mwanamke nilie mzalisha Nika mkataa??.
Sasa mi nakujua kaka mkubwa??
Hapo nimegeneralize ni eidha upo humo au haupo.
Kama upo tubu na uache kama haupo basi usianze huo mchezo.

Maana hiki kivuli cha anonymous kinafanya watu mkitumie kama point tukuka.
 
Sasa unaeza ku declare maamuzi yako yawe yetu??

Tutubu kwanini ??, kisa akati kila mtu ana preference zake.

Kama sifanyi, una anzaje kuni ambia nisi jaribu, means Uhuru wetu wa kimaamuzi unao wewe??
 
Kwa niaba ya wabahili wenzangu kutoka makao makuu na kwa mamlaka niliyopewa nakupa chao cha assistant Master nikiwa mimi senior master wa ubahili nitakuongoza zaidi ukue katika ubahili
 
Back
Top Bottom