Kilimo ni sekta ambayo kwa asilimia kubwa inachangia katika Pato la taifa ambapo inahusisha mazao ya chakula na mazao ya biashara,na asilimia kubwa ya Watanzania wanategemea kuendesha maisha yao kutokana na sekta ya kilimo.
Tufanyeje Ili kuongeza uwajibikaji katika sekta ya kilimo
Kuwasaidia wakulima hasa wadogo wadogo ambao ni asilimia kubwa kuliko wakulima wakubwa kwa kuwapa mikopo Ili waweze kulima kilimo kwa njia bora zaidi Ili kukuza sekta ya kilimo.
Pia kuwasaidia wakulima hasa kipind cha upandaji wa mazao kwa kuwapa pembejeo bora za kilimo kwa kuwauzia kwa bei nzuri ambayo inaendana na uchumi wao na kuweka bei nzuri za mazao ambazo zitakuwa zitasaidia kuinua uchumi wa mkulima na kumsaidia mkulima kununua mbegu bora Ili kuongeza ukuaji wa kilimo.
Kuongeza wataalamu wa kilimo katika jamii za wakulima Ili waweze kuwaelimisha wakulima wadogo wadogo njia nzuri za kilimo Ili kukuza sekta ya kilimo.
Kuongeza vituo vya pembejeo za ruzuku hasa mbolea kila wilaya Ili kupunguza foleni ya watu kweny vituo, pia kupungua mda ambao wakulima wanautumia katika kusubiri mbolea ya ruzuku.
Kuweka uhusiano unaoshabihiana kati ya bei ya mazao na bei za pembejeo na pia bei elekezi ya mazao iwekwe, Ili kuzuia kushuka na kupanda sana kwa bei ya mazao hasa ya chakula.

Upvote
2