Uwajibikaji

Uwajibikaji

D___________Loy

Senior Member
Joined
Jan 21, 2020
Posts
168
Reaction score
146
Habari wanajukwaa.

Mimi ni Mtumishi Sekta Binafsi. Mwenza wangu ni Mtumishi Sekta ya Serikali Idara ya Elimu. Tumepambana kuomba uhamisho wa kubadilishana na mtumishi mwenzake kwa kutumia mfumo wa online ess.utumishi. Mpaka sasa status zao zote zinasoma Tamisemi kwa zaidi ya miezi 7. Tukipiga simu Huduma kwa Wateja simu hazipokelewi na email hazijibiwi.

Wito wangu kwa wanohusika, tafadhali toa muongozo kama njia hii ya uhamisho (E-Transfer) ipo kwa ajili ya maslahi ya watumishi wachache wa serikali.
 
Back
Top Bottom