Uwakala m-pesa umesitishwa?

Uwakala m-pesa umesitishwa?

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
1,714
Reaction score
448
Nahitaji kuanza kufanya hiyo biashara ila kuna mtu kanipa story za juu juu kwamba voda wamesitisha kusajili mawakala wapya,mwenye taarifa zaidi naomba anijuze tafadhali
 
Ninavyojua mimi Vodacom imesitisha kuwasajili mawakala WAKUBWA.
Kumbuka kuna mawakala wakubwa na mawakala wadogo ambao ndio wengi.
waweza kujisajili kama wakala mdogo na mambo yakaenda vizuri tuu.
Afterall tusubiri wadau wengine kama wana la kusema tofauti na mimi.
 
okey thanx me nataka kuwa wakala mdogo,labda tusubirie wadau wengine pengine wanainfo tofauti Ndibalema
 
Last edited by a moderator:
Hata wakala wadogo wamesitisha, mi niliomba tangu january hadi leo hakuna kitu, hata tigopesa nao wamesitisha
 
Tigopesa wameanza kusajili mito
 
Last edited by a moderator:
tigo nilienda jana wamesitisha, voda sina uhakika
 
mbona mimi nimepata best,niliomba mwezi uliopita jana nimepewa
 
mmh pananipa utata hapa,wengine mnasema wamesitisha wengine mnasema mmepata
 
cku hz kujuana kwingi,kama hujulikani ama hutoi pesa hupati ng'o!
 
Jamani hatimaye nimepata,ila shughuli yake c ndogo
 
naomba taratibu zake ulizotumia ilikupata m pesa na tigo pesa. nahitaji huu uwakala na mimi

uwe na Tin number,Leseni ya biashara,Kitambulisho,Passport(kwa tigo),then mtaji wa milion 1.
 
bora wamesitisha angalau waboreshe huduma zao. kwa mfano jana tumeshindwa kuchangia M4C LIVE!
 
Ninavyojua mimi Vodacom imesitisha kuwasajili mawakala WAKUBWA.
Kumbuka kuna mawakala wakubwa na mawakala wadogo ambao ndio wengi.
waweza kujisajili kama wakala mdogo na mambo yakaenda vizuri tuu.
Afterall tusubiri wadau wengine kama wana la kusema tofauti na mimi.

sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom