malamsha shao
JF-Expert Member
- Sep 23, 2012
- 215
- 79
Nataka kuwa wakala wa soda za coca naomba mchanganuo yaani bei ya kreti tupu bei ya soda kreti kwa jumla na bei ya kuuzia.halafu arusha huwa naona wakiuza kwenye makontena.je? Hutolewa na kampuni au wananunua wenyewe? Sababu huwa nayaona yana nembo ya kampuni.Natanguliza shukrani wakuu naombeni msaada wenu.