Uwakala wa coka

Uwakala wa coka

malamsha shao

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2012
Posts
215
Reaction score
79
Nataka kuwa wakala wa soda za coca naomba mchanganuo yaani bei ya kreti tupu bei ya soda kreti kwa jumla na bei ya kuuzia.halafu arusha huwa naona wakiuza kwenye makontena.je? Hutolewa na kampuni au wananunua wenyewe? Sababu huwa nayaona yana nembo ya kampuni.Natanguliza shukrani wakuu naombeni msaada wenu.
 
Kwakweli ndugu empty crety elf Kumi inatakiwa uwe Nazo 1500 namaji sijui mana ilikua elf 9560. Sijui kwasasa mana mm nilifanya nimeshindwa shauliya mtaji umekata alafu inatakiw
a uwe nagari lakusambazia ili uweze kuwekewa faida kubwa shauli yamafuta yagari vile vile kuna idadi unapewa yakuuza labda kwa mwezi kreti elf4 ukitimiza malengo unapewa insensitive yani idadi flani yasoda eza cleti 50 au 60 kuku motisha mimi duka langu nimefunga hahaha kutafuta mtaji wakuweza kugikia maleo Kwan unapewa naeneo lako atakiwi mtu mwingine kuuza kiukweli inafaida sana ndugu km VP tuwadiliane kwamsezo zaidi 0712690760
 
Back
Top Bottom