JOFFREY BARATHEON
Senior Member
- Jun 26, 2014
- 107
- 195
Nina tenda ya kusupply cementi kwenda nchi jirani
sasa sijakubali kitu na hawa jamaa mpaka nifanye research yangu
je bei za cement brand gani ni nzuri na ina bei ya afadhali hapa Tanzania
Je process ya kupata uwakala au u superdealership ukoje na masharti yake je?
Je ipi bora kati ya kununua cement hapa bongo au ku order toka India au China au nje kisha kupeleka nchi jirani?
Hapa sitaki kulipa magharama makubwa ya kodi NA pia bei kwangu muhimu sana