Uwakala wa Dangote Cement

Uwakala wa Dangote Cement

JOFFREY BARATHEON

Senior Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
107
Reaction score
195
Nina tenda ya kusupply cementi kwenda nchi jirani

sasa sijakubali kitu na hawa jamaa mpaka nifanye research yangu

je bei za cement brand gani ni nzuri na ina bei ya afadhali hapa Tanzania

Je process ya kupata uwakala au u superdealership ukoje na masharti yake je?

Je ipi bora kati ya kununua cement hapa bongo au ku order toka India au China au nje kisha kupeleka nchi jirani?

Hapa sitaki kulipa magharama makubwa ya kodi NA pia bei kwangu muhimu sana
 
maneno matamu tuu hehehehe na ni watu ambao naaminiana nao na nishafanya nao kazi zingine in the past

hakuna ubaya
 
Nina tenda ya kusupply cementi kwenda nchi jirani

sasa sijakubali kitu na hawa jamaa mpaka nifanye research yangu

je bei za cement brand gani ni nzuri na ina bei ya afadhali hapa Tanzania

Je process ya kupata uwakala au u superdealership ukoje na masharti yake je?

Je ipi bora kati ya kununua cement hapa bongo au ku order toka India au China au nje kisha kupeleka nchi jirani?

Hapa sitaki kulipa magharama makubwa ya kodi NA pia bei kwangu muhimu sana

Cement agiza Dubai au Turkey kama una soko la uhakika huko nje ni gharama nafuu sana hata ukiweka na kodi.
 
Cement agiza Dubai au Turkey kama una soko la uhakika huko nje ni gharama nafuu sana hata ukiweka na kodi.

Hizi kodi kubwa zinazotozwa kwa bidhaa zinazotengenezwa na viwanda vya ndani zitaua uchumi wa taifa badala ya kuunufaisha.

Nia ajabu kama saruji inayotengenezwa Uturuki pamoja na gharama za kusafirisha na kodi juu ikauzwa rahisi kuliko ya hapa nchini. Kama kweli ndivyo, basi Mheshimiwa Pombe ana MAJIPU kibao ya kutumbua.
 
naomba niweke sawa

hiyo cementi inaenda nchi ya jirani na haitotumika Tanzania

sasa bora kununua ya Tanzania au nje na TZ iwe transit tuu?
 
Back
Top Bottom