Uwakala wa huduma za simu na za Kibenki

Uwakala wa huduma za simu na za Kibenki

brother white

Member
Joined
Feb 18, 2021
Posts
76
Reaction score
120
Wadau habari ya wakati huu, naomba kufahamu namna ya kupata TIL ya uwakala wa Tigo, voda, Airtel na Halotel lakini kwa jina la kampuni yangu...

Pia nataka kujua commissions za wakala Kama wakala pindi transactions zinapokuwa zinafanyika...
Mfano MTU akitoa 10000 Tigopesa, commission ni kiasi gani kwa wakala?

Lakini pia naomba mwenye kuelewa commissions za NMB wakala ni kiasi gani?

Mfano MTU akifanya withdraw ya 10000?

Ahsante
 
Airtel, hakotel,tigopesa unapata hata leo. Voda hawatoi kwa sasa.
Unatakiwa uwe na Namba/kitambulisho ya NIDA, kitambulisho cha mpiga kura, TIN, leseni ya biashara
 
Yes, kwa Leo hapana mkuu, but Kama nafasi ipo hata Jumatatu...
Upatikanaji upoje kiongozi? Sio binafsi lakini...ni kampuni
 
Wadau habari ya wakati huu, naomba kufahamu namna ya kupata TIL ya uwakala wa Tigo, voda, Airtel na Halotel lakini kwa jina la kampuni yangu...

Pia nataka kujua commissions za wakala Kama wakala pindi transactions zinapokuwa zinafanyika...
Mfano MTU akitoa 10000 Tigopesa, commission ni kiasi gani kwa wakala?

Lakini pia naomba mwenye kuelewa commissions za NMB wakala ni kiasi gani?

Mfano MTU akifanya withdraw ya 10000?

Ahsante
Kwenye simu ukitoa 10,000/=...commission n 200+
 
Back
Top Bottom