brother white
Member
- Feb 18, 2021
- 76
- 120
Wadau habari ya wakati huu, naomba kufahamu namna ya kupata TIL ya uwakala wa Tigo, voda, Airtel na Halotel lakini kwa jina la kampuni yangu...
Pia nataka kujua commissions za wakala Kama wakala pindi transactions zinapokuwa zinafanyika...
Mfano MTU akitoa 10000 Tigopesa, commission ni kiasi gani kwa wakala?
Lakini pia naomba mwenye kuelewa commissions za NMB wakala ni kiasi gani?
Mfano MTU akifanya withdraw ya 10000?
Ahsante