brother white
Member
- Feb 18, 2021
- 76
- 120
Yes, kwa Leo hapana mkuu, but Kama nafasi ipo hata Jumatatu...Airtel, hakotel,tigopesa unapata hata leo. Voda hawatoi kwa sasa.
Unatakiwa uwe na Namba/kitambulisho ya NIDA, kitambulisho cha mpiga kura, TIN, leseni ya biashara
Upotikanaji ni rahisi,haraka na uhakikaYes, kwa Leo hapana mkuu, but Kama nafasi ipo hata Jumatatu...
Upatikanaji upoje kiongozi? Sio binafsi lakini...ni kampuni
Nakuja PM mkuuUpotikanaji ni rahisi,haraka na uhakika
Kwenye simu ukitoa 10,000/=...commission n 200+Wadau habari ya wakati huu, naomba kufahamu namna ya kupata TIL ya uwakala wa Tigo, voda, Airtel na Halotel lakini kwa jina la kampuni yangu...
Pia nataka kujua commissions za wakala Kama wakala pindi transactions zinapokuwa zinafanyika...
Mfano MTU akitoa 10000 Tigopesa, commission ni kiasi gani kwa wakala?
Lakini pia naomba mwenye kuelewa commissions za NMB wakala ni kiasi gani?
Mfano MTU akifanya withdraw ya 10000?
Ahsante
Anhaa sawa kiongozi AhsanteKwenye simu ukitoa 10,000/=...commission n 200+
Mm pia nahitaj huduma ya lain hizi unansaidiaje?Upotikanaji ni rahisi,haraka na uhakika