Uwakala wa uuzaji wa jumla na rejareja wa Saruji

Uwakala wa uuzaji wa jumla na rejareja wa Saruji

baunsamuoga

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2023
Posts
1,135
Reaction score
1,182
Wanabodi? Habari ya majukumu? Wakuu, wakongwe, vingunge na wasaka tonge wote! Ninaomba nipate elimu tosha kuhusiana na biashara ya uuzaji wa saruji, kuanzia taratibu Zote kwa hatua ya mfanya biashara wa kawaida mpaka kuwa wakala, faida, changamoto zake zipoje, taratibu za upatikanaji wa bidhaa kutoka kiwandani mpaka site zipoje, bei za kiwandani na namna ya kutanua siko!

Ahsante sana nategemea kupata busara zilizoshiba muongozo wa mafanikio
 
Back
Top Bottom