Navyofahamu Mimi ukienda tigo moja kwa moja unaenda na 1m kama mtaji wako wa tigopesa unapewa usajili wa jina lako kama wakala’ either jina lako ama kampuni
Ukinunua za watu ni makubaliano yenu’ unaweza kununua uwakala kwa mtu kwa laki1/2/3/4/5
Ila inakua kwa jina lake’ tofauti na ukienda moja kwa moja kwa kampuni husika...