Uwakala

Uwakala

madawi mart

Senior Member
Joined
Nov 27, 2018
Posts
176
Reaction score
88
Wana JF mwenye uzoefu wowote juu ya uwakala wa tigo pesa, m-pesa, airtel money tufahamishane kuanzia mwanzo line unanunua kwa bei gani? Na kias gani unaanza nacho unachoanzishia biashara?
 
Navyofahamu Mimi ukienda tigo moja kwa moja unaenda na 1m kama mtaji wako wa tigopesa unapewa usajili wa jina lako kama wakala’ either jina lako ama kampuni

Ukinunua za watu ni makubaliano yenu’ unaweza kununua uwakala kwa mtu kwa laki1/2/3/4/5

Ila inakua kwa jina lake’ tofauti na ukienda moja kwa moja kwa kampuni husika...
 
Shukrani
 
Back
Top Bottom