Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
- Thread starter
- #21
Sawa mkuuZamani ilikuwa inawezekana, ila kwa sasa changamoto ni nyingi; tafuta mtu ambaye yuko vizuri kiuchumi, kuwa naye kiurafiki huku akikusaidia kutimiza ndoto zako.