Uwanja mkubwa wa mpira Chato wa nini?


Kwan Mo alivokua mbunge wa singida aliendesha singida kama ni biashara yake? ukiwa mfanyabishara mkubwa kunakuaga na discipline flan unakua nayo, its not from grades: mtu ambae anaweza kufanya maamuzi mazuri ni mtu mwenye discipline katika kila anachofanya: Mo can make a good leader, because he himself contributes alot to the GDP ya nchi pakubwa sana: 28,000 employees isnt a joke, ni tafaut sana na wewe ambae hio discipline hauna, angalia maraisi ambao ni matajiri, wako smart sana kwenye maamuzi yao, trump himself is a billioniare, how about putin: so you get you answer:

By the way let me ask you this, have u ever managed a bussiness with employees?
 
Acha ujinga ukiwa mbunge hapo huna jukumu lolote la kiserikali kazi yako ni kuwasemea wapigakura sasa kwani staff wa serikali huwa wanafanya majukumu ya kisiasa?
 
Hujamwelewa kabisa, jamaa hana bifu na ujenzi, bali anataka miradi ya kimkakati ndo ipewe nafasi, na sio miradi inayofanywa kisiasa, mfano SGR ipo kimkakati, ndege ni kimkakati, dar kibaha road ni kimkakati,je uwanja wa chato upo kimkakati kwa vp? Kiuchumi sio sahihi kujenga uwanja Chato, bali kisiasa ni sawa, refer machinga complex project.
 
Please stay silent, unashindana na watu wenye akili ndogo sana na wote hakuna mwenye economic analysis, walokuelewa hawacoment tena wanapita tu. Good night
 
Wewe mwehu lazima ujue kwa technologia iliyepo inaruhusu, wabongo kibao wanakwemda ukiangalia mpira England, France hadi USA so tatizo lako ni nini? wakati chato ni mji wa kati, kaskazini kuna bukoba magharibi kuna mwanza na geita wakati kusini kuna bihalamuro na kahama na kuna mji midogo mingi kama katoro na buselesele kwangu mimi ni jaguo sahihi
 
Serikali ina vipaumbele vingi sana na vingine viko kwenye ilani ya ccm zaidi ya miaka 50 iliyopita na vyote hivo vilishindwa kutekelezwa au kukamilika sababu ya pesa sasa sidhani kama kiwanja cha chato kipo kwenye ilani ya ccm.
 
Cheap political popularity inatugharimu sana tena sana.
Mbona habari za uwanja mkubwa unaolalamikia siuoni mkuu, au uwanja wenyewe ni 'virtual reality'?

Kwa upande mwingine ngoja nikusaidie kwa kupoza maumivu yako: pesa yote ni yake, mipango yote ya matumizi anaamua yeye; miradi anaibuni mwenyewe. Ukiwa na uwezo wa namna ile, na kiuhakika hakuna wa kuhoji chochote kuhusu maamzi yako; utashindwa kweli kufanya hayo unayoyalalamikia?

Tulia ndugu, 'you ain't seen nothing yet'! Hii ndio Tanzania mpya.
 
Kwenye majiji makubwa hapo ondoa kamkoa ka Mbeya ,Mbeya siyo jiji mkuu ni kasemu kahovyo sana
 
Hata hiyo Dar,Mwanza Arusha nk ilikua kama Chato,watu wanaongezeka,fikiria 50 yrs baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…