Uwanja mmoja uitwe Karia Stadium

Uwanja mmoja uitwe Karia Stadium

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Wakuu kutokana na rekodi kubwa aliyoweka huyu mwamba kutoka Tanga nashauri kwenye vile viwanja vikubwa vya soka vitakavyojengwa basi kimojawapo kiitwe Karia Stadium
Chini ya uongozi wake kwa mara ya kwanza nchi yetu itapeleka team
1.Wanaume afcon
2.Wanawake wafcon
3.Vijana under 20 afcon
4.Nadhani under 17 nao wameenda
Kama Simba queens wasingepigwa kule Ethiopia kama Ngoma huenda nao wangekuwa wameenda upande wa wanawake kwenye ligi ya mabingwa
Huku upande wa clubs ndio kabisa watu wanaitamani final
Jamaa kafanya kazi kubwa sitashangaa akipewa miaka mingi zaidi pale karume
 
Simba anakwenda kuchukua shirikisho......naunga mkono hoja apewe kiwanja kimoja.......
 
Kiukweli Karia anastahili mno ni kiongozi bora wa mpira kuwahi kutokea katika taifa letu
 
Back
Top Bottom