Uwanja mpya Dodoma kukamilika 2021

Ukubwa wa uwanja hauna tija Kama miundombinu tumia akili
 
Hizi zinakamlilika lini? Kupanga ni Kuchagua maendeleo hayana chama.


 
Huo ujinga ulionao hauna tofauti sana na wanaokulipa buku saba! Huo uwanja utazalisha kiasi gani kwa mwaka? Hapa jadili suala la nchi itanufaikaje na sio habari za lumumba na ufipa kwani huko nikishahama kitambo! Itikadi zisizo na tija ni uchawi!
 
Hongera serikali mdogo mdogo tunspiga hatua na sisi kimichezo , mwaka huu tunaandaa Africon ya watoto viwanja vya michezo vikiongezeka tunaweza miaka ijayo tukaandaa hata fainali za mataifa Afrika ya wakubwa sisi wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…