ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ukubwa wa uwanja hauna tija Kama miundombinu tumia akiliHuyo ni Mtanzania na asili ya kukosoa kila kitu.
Zilijengwa barabara za line mbili, leo unaambiwa hazee hawakuona mbali ona leo wanabomoa. Hospital, mashule, system za maji, magorofa mafupi nk yote hayo kizazi hiki kinayaponda. Kikitengenezwa kikubwa nacho kinapondwa. Sijui Mtz anataka nn zaidi ya kukosoa.
Hao watu laki 1 twawaona ni wengi vipi kwa miaka 10 population itaendela kuwa hiyo hiyo?