Uwanja pekee unaoweza kujengwa pale jangwani ni wa kufugia majini

Ukisikia upuuzi Sasa ndo huu. Ukiongelea usimba na uyanga uwanjani inatosha. Lakini ukiongelea taaluma usiyoijua huo ni Uzuzu. Anayewekeza lazima ajue ataweka nini na outcome ni ipi. Wewe unataka mwekezaji ajenge uwanja halafu hela yake bilioni 32 zirudi ndani ya miezi 12? Wenzio wanawekeza mpaka vizazi vinakuta babu Yao anapokea miamala. Kaa hapo Chumbe usubiri msosi wa mchana Kwa mboga aliyoleta shemejiyo.
 
πŸ˜€πŸ˜€ muwekezaji yupi wa kuwajengea uwanja nyie?
 
Siyo tu kwa sababu Simba waneshindwa kujenga uwanja wenu basi na Yanga hawawezi. Hivi ule uwanja wenu mliokuwa mnachanga thumni thumni umefikia wapi au Mangungu kazifyeka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…